Skip to content
HeyJared

Wimbi la Siasa

Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa

Podcast · By RFI Kiswahili · Swahili · Official site

Indexed episodes, last 90 days
12
Latest publication
Sep 30, 2026
Audience
Checking…
Earliest in this view
Jul 8, 2026

Latest episodes

  1. Episode · Sep 30, 2026

    Suluhu ya njiapanda ya kisiasa nchini Sudan Kusini (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Sudan Sudan inakabiliwa na mzozo wa kikatiba na kisiasa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kwanza, uliopangwa kufanyika tarehe 22 mwezi Disemba mwaka huu. Rais Salva Kiir, anayetarajiwa kuwania, amebadilisha sheria ya uchaguzi, kwa kuondoa kipengele kuwa uchaguzi huo unatakiwa kufanyika chini ya Katiba mpya na baada ya sensa ya watu. Nini hatima ya kisiasa Sudan Kusini ?

  2. Episode · Sep 23, 2026

    Kenya: Kwanini rais Ruto na mtangulizi wake wanatupiana maneno ? (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2027, vita vya maneno kati ya rais William Ruto na mtangulizi wake, Uhuru Kenya zimeshika kasi. Nini chanzo cha majibizano haya ? Victor Abuso anachambua hili kwa kina na Edwin Kegoli, mchambuzi wa siasa na masuala ya sera nchini Kenya.

  3. Episode · Sep 16, 2026

    Hatima ya serikali ya umoja wa kitaifa visiwani Zanzibar (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi, amezindua Kamati ya pamoja ya majadiliano kati ya chama chake CCM na kile cha upinzani ACT Wazalendo, katika kile kinachoashiria hatua mpya katika mchakato wa maridhiano ya kisiasa katika visiwa hivyo. Hatua hii inakuja baada ya vyama hivyo kusaini tamko la pamoja la makubaliano Julai tarehe 9 mwaka huu, ili kupata maridhiano ya kisiasa. Kwanini imechukua muda mrefu kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar ? Tunachambua.

  4. Episode · Sep 9, 2026

    Kenya yatoa siku 90 kwa wageni wasio na vibali halali kuvitafuta (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Serikali ya Kenya, imewatangazia raia wa kigeni wanaoishi nchini humo bila vibali vya kuishi au kufanya biashara, kuvitafuta ndani ya siku tisini.Hii inafuatia kauli ya rais William Ruto, wiki iliyopita, kuagiza operesheni dhidi ya wachuuzi wanaofanya biashara ndogo ndogo nchini humo. Je, hatua hii ya serikali ya Kenya inamaanisha nini na tishio ya utengamano katika Jumuiya ya Afrika Mashariki ?

  5. Episode · Sep 2, 2026

    Mpango wa rais Tshisekedi kuhusu mazungumzo yatafanikiwa ? (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Mwishoni mwa mwezi wa Agosti, rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi, alitangaza mpango wa namna mazungumzo ya kitaifa yatakavyofanyika, kusaidia kuleta utulivu wa kisiasa nchini humo. Mazungumzo hayo yataanzia katika mikoa yote 26, kabla ya yale ya kitaifa kufanyika jijini Kinshasa. Makundi yenye silaha na waasi wa M23/AFC hawatoshiriki kwenye mazungumzo hayo. Je, mpango huu utafanikiwa ?

Publishing over time

Last 90 days. Choose a month to open its work.

Recurring subjects

Named in the text we hold. One piece can cover several.

Not enough subject data for this period yet.

Audience

No verified audience measurement yet.

About this data

Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.

Identity or attribution wrong? Suggest a correction.

See coverage about Wimbi la Siasa