Skip to content
HeyJared

Wanangu podcast

This podcast is hosted by Goodluck Joseph, a curious guy who likes to share all the things he finds interesting in the form of a podcast episode. In other words, this podcast is an extension of his personality and more.

Podcast · By Goodluck Joseph · English · TZ · Official site

Indexed episodes, last 90 days
10
Latest publication
Sep 7, 2026
Audience
Checking…
Earliest in this view
Jul 6, 2026

Latest episodes

  1. Episode · Sep 7, 2026

    Episode 108 | Fikra Sahihi Huja Kwa Lugha Asili (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Fuatilia jinsi mstari mmoja wa Nash Mc unavyoweza kuzalisha maswali mengi na yenye kutafakarisha kuhusu uhusiano na kutegemeana kati ya lugha na fikra. Ni kama hadithi ya nani alianza kati ya yai na kuku, lakini safari hii ikiwa katika uwanja wa lugha na utambuzi. Je, lugha ndiyo huchochea namna tunavyofikiri, au fikra ndizo huunda lugha tunayotumia?

  2. Episode · Aug 31, 2026

    Episode 107 | A.k.a Mimi by Ngwair (Uchambuzi) (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Katika episode hii, Host anaichambua album ya kwanza ya Ngwair, A.K.A Mimi , na kueleza mambo aliyogundua baada ya kuisikiliza tena akiwa mtu mzima. Wakati album hii ilipotoka, alikuwa bado mdogo na huenda hakuwa na uwezo wa kuielewa kwa kina kama anavyoweza leo. Safari hii, anaisikiliza kwa mtazamo tofauti; akiunganisha “dots” zilizopo baina ya nyimbo, mambo yanayofanya album hii isimame kama kazi moja yenye mshikamano wa dhamira, ujumbe na ubunifu, pamoja na vipengele vingine ambavyo huenda vi

  3. Episode · Aug 24, 2026

    Episode 106 | Usiamini Hadithi Moja Tu (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Katika episode hii, tunaangazia tabia ya kuchukua hadithi ya mtu mmoja na kuitumia kama ushahidi wa kuhitimisha jambo kubwa zaidi. Kupitia mifano ya maisha ya kila siku, katika afya, biashara na social media, tunaona jinsi kauli kama “Mimi ninamjua mtu ambaye…” zinavyoweza kutufanya tufanye maamuzi yasiyo sahihi. Episode hii inatukumbusha kwamba stori moja inaweza kuwa ya kweli, lakini isiwe ushahidi wa kutosha kueleza picha nzima, na kwamba tunapaswa kujifunza kutofautisha kati ya hadithi ya mt

  4. Episode · Aug 17, 2026

    Episode 105 | Kampuni Inayouza Rangi Bila Kuuza Rangi! (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Katika Episode hii, tunaangazia historia ya kuvutia ya Pantone , mfumo uliobadilisha namna dunia inavyotambua, kuwasiliana na kutumia rangi. Tutafuatilia jinsi wazo la kuunda mfumo wa kutambua rangi lilivyoanza, namna Pantone ilivyogeuka kutoka kwenye mfumo wa kawaida wa kuchanganua rangi na kuwa sehemu muhimu ya ulimwengu wa ubunifu, mitindo, matangazo na biashara. Karibu!

  5. Episode · Aug 10, 2026

    Filamu ya Afrika Iliyowahamasisha Jay-Z na Beyoncé (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Je, ni nini kinachofanya filamu iliyotengenezwa Afrika zaidi ya miaka 50 iliyopita iendelee kuzungumziwa, kupongezwa na hata kuwavutia mastaa kama Jay-Z na Beyoncé? Katika episode hii, host anasimulia Touki Bouki, mojawapo ya filamu kubwa na zenye ushawishi kuwahi kutokea Afrika. Tunafuatilia safari ya wahusika Mory na Anta, lakini zaidi ya hapo, tunaangalia kile ambacho filamu hii inakisema kuhusu Afrika, ndoto za kuondoka, utambulisho, mapenzi na tamaa ya maisha bora. Kwa nini Touki Bouki imee

Publishing over time

Last 90 days. Choose a month to open its work.

Recurring subjects

Named in the text we hold. One piece can cover several.

Audience

No verified audience measurement yet.

About this data

Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.

Identity or attribution wrong? Suggest a correction.

See coverage about Wanangu podcast