Skip to content
HeyJared

TANAPA PODCAST

Welcome to the official podcast of the Tanzania National Parks (TANAPA).Join us as we explore key conversations on conservation education, tourism, and investment opportunities across Tanzania’s National Parks.Each episode highlights strategies for sustainable conservation…

Podcast · By Tanzania National Parks (TANAPA) · Swahili · Official site

Indexed episodes, last 90 days
5
Latest publication
Sep 21, 2026
Audience
Checking…
Earliest in this view
Jul 13, 2026

Latest episodes

  1. Episode · Sep 21, 2026

    SE02 EP04: Utalii wa Uwajibikaji; Siri ya Uzoefu Bora Kwa Watalii na Uhifadhi Endelevu (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Sikiliza kipindi maalum uweze kufahamu umuhimu wa kufanya utalii wa kiuwajibikaji kwa Waongoza Watalii na dhima yake ya kutunza mazingira, uhifadhi endelevu, kukuza utalii pamoja na kutengeneza uzoefu usiosahaulika kwa watalii wanaotembelea Hifadhi za Taifa. Ni ndani ya TANAPA Podcast – Season 2, Episode 04, katika mazungumzo maalum kutoka kwa Waongoza Watalii wabobezi na Wahifadhi wazoefu. Jumatatu, 21.09.2026 Eneo: Arusha, Tanzania Mwongoza Kipindi: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbe

  2. Episode · Aug 31, 2026

    SE02 EP03: Utalii wa Ndani na Nguvu ya Vyombo vya Habari katika Kutangaza Uzuri wa Serengeti (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Nafasi ya vyombo vya habari katika kuhamasisha Watanzania kutembelea vivutio vya utalii. Sikiliza TANAPA Podcast – Season 2, Episode 03 kwa mazungumzo maalum kuhusu utalii wa ndani, nafasi ya vyombo vya habari na namna tunavyoweza kuitangaza Tanzania kwa Watanzania na dunia. Jumatatu, 31.08.2026 Eneo: Serengeti Mwongoza Kipindi: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena Ni mwendo wa bandika bandua! Wageni: Rashid suluhu Hassan - Mkurugenzi SUNET TV Zanzibar Yusuph Khamis- Mwandishi wa habar

  3. Episode · Aug 3, 2026

    S02 EP02 - Ujirani Mwema na Faida Zake kwa Jamii (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Katika episodi hii utasikia simulizi, uzoefu na ushuhuda kutoka kwa wataalamu wa uhifadhi pamoja na wanufaika wa programu za ujirani mwema, wakieleza namna uhifadhi unavyochangia maendeleo ya wananchi na ustawi wa jamii. Eneo: Arusha Mwongoza Kipindi: Afisa Uhifadhi Daraja la Pili, Happiness Sam Wageni: ​ Afisa Uhifadhi Mwandamizi Lameck Matungwa – Kitengo cha Ujirani Mwema, Hifadhi ya Taifa Milima Mahale ​ Rose Machange – Mwenyekiti, Kikundi cha Umoja wa Maendeleo Ngurdoto (UMANGU) Tazama sasa

  4. Episode · Jul 28, 2026

    Promo S02 EP02 - Zifahamu faida za ujirani mwema zitokanazo na uhifadhi kwa jamii (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Jamii zinazozunguka Hifadhi za Taifa zinanufaikaje na uhifadhi? Sikiliza simulizi na uzoefu wa wadau wa uhifadhi kuhusu namna ujirani mwema unavyochangia maendeleo ya wananchi na uhifadhi endelevu.TANAPA Podcast – Msimu wa 2 | Episodi ya 02Mwongoza kipindi: Happiness Sam (Afisa Uhifadhi Daraja la Pili)Wageni:• Lameck Matungwa – Afisa Uhifadhi Mwandamizi, Kitengo cha Ujirani Mwema, Hifadhi ya Taifa Milima Mahale• Rose Machange – Mwenyekiti, Kikundi cha Umoja wa Maendeleo Ngurdoto (UMANGU)Eneo: Ar

  5. Episode · Jul 13, 2026

    SO2 EP 01: FAHAMU ELIMU YA UJIRANI MWEMA NA FAIDA ZAKE KATIKA UHIFADHI NA JAMII (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Episodi hii inaangazia - Chimbuko la Elimu ya Ujirani Mwema - Uanzishwaji na malengo yake kwa jamii zinazoishi kuzunguka Hifadhi za Taifa - Faida zake na umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika kuhifadhi rasilimali za Taifa kwa kizazi cha sasa na kijacho Mgeni Mualikwa: Afisa Uhifadhi Mwandamizi Samwel Nassari, Kitengo cha Uhifadhi – TANAPA Makao Makuu. Host: Afisa Uhifadhi Daraja la Pili Happiness Sam, Idara ya Habari na Mawasiliano – TANAPA. Sikiliza kupitia: - Apple Podcasts - Amazon Music - Y

Publishing over time

Last 90 days. Choose a month to open its work.

Recurring subjects

Named in the text we hold. One piece can cover several.

Audience

No verified audience measurement yet.

About this data

Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.

Identity or attribution wrong? Suggest a correction.

See coverage about TANAPA PODCAST