Skip to content
HeyJared

Siha Njema

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya.

Podcast · By RFI Kiswahili · Swahili · Official site

Indexed episodes, last 90 days
11
Latest publication
Sep 22, 2026
Audience
Checking…
Earliest in this view
Jul 10, 2026

Latest episodes

  1. Episode · Sep 22, 2026

    Mchakato wa kupatikana chanjo mpya dhidi ya TB kufikia mwaka 2029 (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Chanjo mpya za kupambana na ugonjwa wa kifua kikuu au TB zitakuwa tayari kufikia mwaka 2029 Hadi sasa chanjo 16 zimekuwa zikifanyiwa majaribio na ikiwa zitaidhinishwa zitaokoa maisha ya watu zaidi ya milioni saba kufikia 2050 haswa katika mataifa yanayoendelea. Kwa miongo kadhaa chanjo ya pekee ambayo imekuwa ikitumika kuzuia TB ni chanjo ya BCG ambayo mtoto anapewa pindi anapozaliwa. Wanaharakati wanakiri hatua muhimu zimepigwa kupambana na TB ila uwepo wa chanjo itakuwa hatua muhimu katika map

  2. Episode · Sep 19, 2026

    Kwa nini kilimo sharti kuzingatiwa kumaliza njaa barani Afrika (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Ripoti ya mashirika kadhaa ya umoja wa mataifa yameonesha Afrika bado ina watu wengi ambao wanakabiliwa na njaa. Hii ni licha ya Afrika kuwa sehemu inayofanya kilimo . Watalaam wanasema kilimo kimeathirika na athari za mabadiliko ya tabia nchi kama vile mafuriko,ukame na sasa hivi vijana wengi hawapendi kilimo Hivi basi nini kifanyike kuhakikisha kuwa kuna lishe bora barani Afrika? Dkt Calistus Kundu mkurugenzi wa mamlaka ya kilimo na chakula nchini Kenya anafafanua.

  3. Episode · Sep 9, 2026

    Kisukari inaendelea kuongeza idadi ya wagonjwa wa macho nchini Kenya (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Magonjwa yanoyohitaji matibabu ya muda mrefu ukiwemo kisukari unaendelea kusababisha watu wengi kupata matatizo ya macho au kupoteza uwezo wa kuona

  4. Episode · Sep 2, 2026

    Afrika kukabiliana na usugu wa vimelea vifo vikitarajiwa kuvuka milioni 4 (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Kituo cha kuzuia na kudhibiti magonjwa barani Afrika ,Africa CDC kimeonya vifo vinavyohusishwa na usugu wa vimelea vinatarajiwa kuvuka milioni 4 mwaka wa 2050 Mashirika ya kikanda yanasisitiza utekelezwaji wa pamoja wa mikakati ya kukabiliana na usugu wa vimelea ikiwemo afya ya mifugo ,matumizi mazuri ya dawa za antibiotics na dawa za kunyunyuzia mimea kwenye sekta ya kilimo. Watalaam wa afya wanaonya dawa hadi asilimia 70 zinatumika kwa wanyama na nyingi yazo huishia kwenye vyakula kama nyama,m

  5. Episode · Aug 28, 2026

    Mapambano dhidi ya Ebola Bundibugyo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Ebola imekamilisha siku 100 tangu ilipotangazwa na bado bado haijadhibitiwa Shirika la kimataifa la VillageReach miongoni mwa mashirika yaliyoalikwa na utawala wa Kinshasa kusaidia juhudi za kudhibiti mwambao hatari wa Ebola Bundibugyo linazungumzia kuhusu mapambano hayo. Baadhi ya changamoto zinazofanya ugumu mapambano hayo ni ukosefu wa uaminifu kati ya wananchi na serikali ,tamaduni na pia taarifa za uongo.

Publishing over time

Last 90 days. Choose a month to open its work.

Recurring subjects

Named in the text we hold. One piece can cover several.

Not enough subject data for this period yet.

Audience

No verified audience measurement yet.

About this data

Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.

Identity or attribution wrong? Suggest a correction.

See coverage about Siha Njema