Skip to content
HeyJared

Ongea na Coach Makirita Amani's show

Ongea na Coach Makirita Amani ni mafunzo kwa njia ya sauti yanayotolewa na Kocha Makirita Amani, ambaye ni mwandishi, mjasiriamali na kocha wa mafanikio.Sikiliza vipindi hivi kujifunza na kuchukua hatua ili uweze kufanikiwa.Pia tembelea www.amkamtanzania.com na…

Podcast · By Dr Makirita Amani · English · Official site

Indexed episodes, last 90 days
58
Latest publication
Sep 9, 2026
Audience
Checking…
Earliest in this view
Jul 4, 2026

Latest episodes

  1. Episode · Sep 9, 2026

    #DZK090; Tumia Sababu Hizi Kuendelea Hata Pale Unapokuwa Na Kila Sababu Za Kukata Tamaa (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    #BZK090; Tumia Sababu Hizi Kuendelea Hata Pale Unapokuwa Na Kila Sababu Za Kukata Tamaa Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/1009/ Rafiki yangu Mpendwa, Mafanikio ni rahisi kuyasema na kuyapanga, lakini ni magumu mno kuyapata. Hiyo ndiyo sababu pamoja na wengi kutaka mafanikio, wachache sana ndiyo wanaoyapata. Na siyo kwamba wachache hao wanaoyapata mafanikio wana bahati sana au wana upekee ambao wengine hawana. Watu wote wanapitia mambo yale yale kwenye saf

  2. Episode · Sep 8, 2026

    #DZK089; Mafanikio Yanataka Uzito, Lakini Dunia Inakuhadaa Na Wepesi (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    #BZK089; Mafanikio Yanataka Uzito, Lakini Dunia Inakuhadaa Na Wepesi Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/1008/ Rafiki yangu Mpendwa, Tunaishi kwenye dunia inayokwenda kwa kasi kubwa sana. Maendeleo makubwa ya teknolojia yamerahisisha sana mambo yote ambayo binadamu tunayafanya. Mtu aliyefariki karne ya 19 na hata ya 20, akifufuka leo na kuona hatua ambazo zimepigwa, atadhani maisha ya watu yako vizuri sana. Lakini atakapopata nafasi ya kuangalia maisha hali

  3. Episode · Sep 7, 2026

    #DZK088; Hii Ndiyo Sababu Ya Maisha Yako Kutokubadilika Licha Ya Kupambana Sana Kujiboresha (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    #BZK088; Hii Ndiyo Sababu Ya Maisha Yako Kutokubadilika Licha Ya Kupambana Sana Kujiboresha Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/1006/ Rafiki yangu Mpendwa, Eneo la maarifa na hamasa ya mafanikio kwa sasa lipo vizuri sana. Kila mtu anayetaka mafanikio kwenye jambo lolote lile, ana fursa nyingi za kujifunza na kuhamasika ili kufanikiwa. Siri zote za mafanikio kwa sasa zipo bayana. Hakuna tena kilichofichwa kuhusu mafanikio. Mtu yeyote anayetaka mafanikio, ana

  4. Episode · Sep 5, 2026

    #DZK087; Siri Nzuri Usiyoijua Kuhusu Nidhamu Binafsi (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    *#BZK087; Siri Nzuri Usiyoijua Kuhusu Nidhamu Binafsi* Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/1002/ Rafiki yangu Mpendwa, Inapokuja kwenye mafanikio, nimekuwa nakusisitizia mambo mawili ya kujenga, tabia na nidhamu sahihi ya mafanikio. Huwa tunajenga tabia na kisha tabia zinatujenga, kwa sababu sehemu kubwa ya mambo tunayofanya kila siku tunaongozwa na tabia. Tukiweza kujenga tabia sahihi, sehemu kubwa ya safari ya mafanikio inakuwa imefanikiwa. Ili kujenga ta

  5. Episode · Sep 3, 2026

    #DZK086; Kwa Nini Umechagua Huu Utumwa Kwenye Ulimwengu Unaoweza Kuwa Huru? (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    *#BZK086; Kwa Nini Umechagua Huu Utumwa Kwenye Ulimwengu Unaoweza Kuwa Huru?* Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/1001/ Rafiki yangu Mpendwa, Nimekuwa nakukumbusha sababu kuu mbili za maamuzi yote tunayofanya sisi binadamu. Sababu hizo zikiwa ni furaha na uhuru. Tunafanya maamuzi ili kuwa na furaha na kuwa huru zaidi. Hayo ndiyo mahitaji yetu ya msingi kabisa binadamu, ambayo tukiyatimiza, mengine yote yanakuwa sawa. Lakini sasa, cha kushangaza, maamuzi men

Publishing over time

Last 90 days. Choose a month to open its work.

Recurring subjects

Named in the text we hold. One piece can cover several.

Audience

No verified audience measurement yet.

About this data

Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.

Identity or attribution wrong? Suggest a correction.

See coverage about Ongea na Coach Makirita Amani's show