Skip to content
HeyJared

Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo,…

Podcast · By RFI Kiswahili · Swahili · KE · Official site

Indexed episodes, last 90 days
9
Latest publication
Sep 19, 2026
Audience
Checking…
Earliest in this view
Jul 18, 2026

Latest episodes

  1. Episode · Sep 19, 2026

    Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Paul Mejooly alianza kutunga Mashairi akiwa Shuleni sasa ni Biashara inayomuingizia kipato, Tumezungumza naye kwenye Makala ya Nyumba ya sanaa.

  2. Episode · Sep 5, 2026

    Zanzibar: Taarab asilia na Qudara Gwingwi (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Egyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii utamsikia Qudra Gwingwi Muimbaji wa bendi hiyo.

  3. Episode · Aug 22, 2026

    Sanaa ya nyimbo za asili na kundi la hiari ya moyo (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Sanaa ya nyimbo za asili inaanzia mbali, tangu enzi za utawala wa kimila. Kutana na kundi la Hiari ya Moyo maarufu Mwanamile katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

  4. Episode · Aug 15, 2026

    Tanzania: Muziki wa reggae Asilia na Ramadhani Yahaya Shaaban (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Ramadhani Yahaya Shaaban Mwanamuziki wa Reggae aliyechanganya na Vionjo vya kabilala Wazaramo anajivunia sanaa ya Muziki wa Asili Tanzania.

  5. Episode · Aug 8, 2026

    Uchoraji wa pembe (Qubical Drawings) na Maria Magige kutoka Daria Arts (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Uchoraji wa pembe(Qubical Drawings) ni sanaa inayozingatia uwasilishwaji wa ujumbe zaidi kuliko uhalisia wa picha. Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na Maria Magige kutoka Daria Arts.

Publishing over time

Last 90 days. Choose a month to open its work.

Recurring subjects

Named in the text we hold. One piece can cover several.

Not enough subject data for this period yet.

Audience

No verified audience measurement yet.

About this data

Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.

Identity or attribution wrong? Suggest a correction.

See coverage about Nyumba ya Sanaa