Skip to content
HeyJared

Nukta the Podcast

Nukta Habari inakusogeza na mambo mtambuka yanayokuhusu ikiwemo burudani, mtindo maisha, safari, teknolojia na biashara.

Podcast · By Nukta Habari · Swahili · Official site

Indexed episodes, last 90 days
8
Latest publication
Sep 26, 2026
Audience
Checking…
Earliest in this view
Jul 14, 2026

Latest episodes

  1. Episode · Sep 26, 2026

    Mfahamu Fatma Karume mwanamke aliyeshika kiganja cha historia ya Zanzibar (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia Jumatatu, Septemba 21, 2026, akiwa na umri wa miaka 97. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ametangaza taarifa za msiba huo usiku wa kuamkia leo Septemba 22, 2026 akieleza kuwa Mama Fatma alifariki dunia akiwa Mbweni, Zanzibar. Katika salamu zake za rambirambi, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Mama Fatma alikuwa sehemu muhimu ya historia ya Zanzibar, hususan katik

  2. Episode · Sep 5, 2026

    Hayati Magufuli, Rais Samia walivyoichonga historia ya Bwawa la Mwalimu Nyerere (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Jumamosi, Agosti 22, 2026, Serikali iliandika historia kwa kuzindua rasmi Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uliopo Rufiji, Mkoa wa Pwani. Mradi huo una uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme na umegharimu zaidi ya Sh7.7 trilioni. Hata hivyo, nyuma ya furaha na shamrashamra zilizoambatana na uzinduzi wa mradi huo kuna safari ndefu iliyochukua zaidi ya karne moja. Safari hiyo imepitia vipindi mbalimbali vya historia ya Tanzania na chini ya uongozi wa marais watano, huku ikipata ms

  3. Episode · Sep 3, 2026

    MAHATA: INVASIVE PLANT THREATENS AGRICULTURE (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    #FYP

  4. Episode · Aug 11, 2026

    Ucheleweshaji vifaatiba unavyowatesa wenye ulemavu Bahi (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Kwa miaka miwili mfululizo Richard Ndaga amekuwa akihudhuria hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma angalau kila mwezi kupigania afya ya mwanae. Ndaga ana mtoto wa kiume (2) mwenye ulemavu wa miguu na mikono ambaye anahitaji kunyooshwa viungo ili virejee katika hali ya kawaida. Safari ya Ndaga, baba wa watoto watano, si ya kupenda. Yeye ni miongoni mwa mamia ya wazazi, walezi na watu wenye ulemavu nchini wanaolazimika kutembea umbali mrefu kusaka kusaka huduma ya kurekebishwa viungo.

  5. Episode · Jul 24, 2026

    Hizi ndizo Passport 5 zenye nguvu zaidi duniani (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Umewahi kujikuta unatumia muda mrefu katika ofisi ya balozi ya nchi fulani ili kupata viza ? Basi fahamu kuwa baadhi ya watu duniani, usumbufu huo wanausikia TikTok. Pasipoti zao zinatosha kuingia katika nchi mbalimbali. Pasipoti ni hati ya kusafiria ambayo humwezesha raia wa taifa moja kuingia taifa lingine kwa shughuli mbalimbali ikiwemo kazi, biashara, utalii au hata kula bata tu. Licha ya kumiliki pasipoti, nchi mbalimbali humuhitaji msafiri kupata viza katika ubalozi wa nchi husika ili apat

Publishing over time

Last 90 days. Choose a month to open its work.

Recurring subjects

Named in the text we hold. One piece can cover several.

Audience

No verified audience measurement yet.

About this data

Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.

Identity or attribution wrong? Suggest a correction.

See coverage about Nukta the Podcast