Skip to content
HeyJared

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.

Podcast · By RFI Kiswahili · Swahili · KE · Official site

Indexed episodes, last 90 days
12
Latest publication
Sep 27, 2026
Audience
Checking…
Earliest in this view
Jul 4, 2026

Latest episodes

  1. Episode · Sep 27, 2026

    Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini, mapigano mapya yaanza nchini Ethiopia. (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Taarifa kuu utakayoskia kwenye makala haya ni pamoja na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa mwezi Disemba. Kwingineko nchini Ethiopia, mapigano mapya yameanza tena kati ya vikosi vya Tigray na jeshi la nchi hiyo. Utaskia pia punde zaidi katika mkutano wa UNGA nchini Marekani.

  2. Episode · Sep 12, 2026

    Raia wa Burundi waondoka Kenya, mioto yaangamiza shule, kumbi za Harusi DRC (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Raia wa Burundi walivyokumbwa na masaibu jijini Nairobi, Kenya wengine wakaamua kuondoka, ajali ya mioto iliyotokea nchini DRC, kuanzia Kinshasa wakati wa sherehe ya harusi, kuja Bukavu Kivu kusini ambapo wanafunzi wengi walikufa katika moto ulioshika shule moja, huku ajali ya moto ikiripotiwa mjini Goma, Kivu kaskazini; mazishi ya mfalme wa Tooro huko Uganda kufanyika jumamosi hii, hali nchini Tanzania na Kenya, lakini pia yaliyojiri Afrika magharibi, na kwengineko duniani.

  3. Episode · Sep 5, 2026

    Wanaharakati Kenya wadai kuachwa huru kwa Lisu na Besigye, Tshisekedi azuru Israeli (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Makala hii imeangazia maandamano ya wanaharakati wa Kenya wakidai kuachwa huru kwa wapinzani Tundu Lisu huko Tanzania, na Kiiza Besigye huko Uganda, wanaokabiliwa na mashitaka ya uhaini, ziara ya rais Felix Tshisekedi huko Israeli, umoja wa mataifa kutaka serikali ya Zambia kuacha kukandamiza wapinzani baada ya uchaguzi, na mvutano kati ya Morocco na Uhispania, mashambulio makali kati ya Marekani na Iran baada ya kukwama kwa juhudi za kidiplomasia kati yao.

  4. Episode · Aug 29, 2026

    Kujiuzulu kwa makamu wa rais Tanzania, Tshisekedi azindua mazungumzo ya kitaifa bila M23 (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Makala hii imeangazia kujiuzulu kwa makamu wa rais wa Tanzania Emmanuel Nchimbi, huku bunge limemwidhinisha Deogracias Ndejembi kuwa makamu mpya wa rais, na huko DRC rais Felix Tshisekedi amezindua mazungumzo ya kitaifa ambayo yatadumu kwenye majimbo 26 kabla ya kukamilishwa mjini Kinshasa, akiwatenga waasi wa M23, siasa za Kenya, Sudan na wanajihadi wa Nigeria wanavyojikusanyia fedha, pia mzozo wa mlango bahari wa Hormuz kati ya Marekani na Iran

  5. Episode · Aug 22, 2026

    Ziara ya rais wa DRC nchini Tanzania, ushindi wa Hakainde Hichilema huko Zambia (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Makala hii imeangazia ziara ya rais wa DRC Félix Tshisekedi nchini Tanzania, mahakama ya Tanzania yasema kiongozi wa chama cha Chadema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu ya uhaini, rais Hakainde Hichilema ndiye mshindi wa uchaguzi mkuu wa Zambia wiki iliyopita, utasikia siasa za Nchini Kenya, Sudan na kampeni za uchaguzi mkuu zilianza siku ya jumatano nchini Nigeria, pia tutaenda huko Senegal, na kwengineko Marekani kuiwekea Iran vikwazo vigumu zaidi vya kiuchumi

Publishing over time

Last 90 days. Choose a month to open its work.

Recurring subjects

Named in the text we hold. One piece can cover several.

Audience

No verified audience measurement yet.

About this data

Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.

Identity or attribution wrong? Suggest a correction.

See coverage about Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii