Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa.
- Indexed episodes, last 90 days
- 9
- Latest publication
- Sep 7, 2026
- Audience
- Checking…
- Earliest in this view
- Jul 6, 2026
Latest episodes
Kauli ya Rais wa Kenya William Ruto kuhusu wafanyabiashara wadogowadogo wa kigeni (opens the original)
Read excerpt
Rais akisema wafanyabiashara wa ndani wanahitaji kulindwa. Agizo lake limeibua mjadala kuhusu nafasi ya wageni katika biashara ndogo nchini Kenya.
Kenya: Nyenzo(Tool) mpya inavyoanika matumizi ya ufadhili wa tabianchi Kenya (opens the original)
Read excerpt
Matumizi ya ufadhili wa hali ya hewa imekuwa swala kuu kwa wadau wa mazingira, kutokana na mianya ya ufuatiliaji. Nchini Kenya, shirika la Transparency International , sasa linajaribu kuziba mwanya uliopo ambapowakenya watakuwa wakifuatilia miradi na matumizi ya fedha hizi nchini humo kupitia jukwaa jipya la mtandaoni la Climate Finance Watch Tool.
Kenya: Ubunifu wa unaogeuza magugu maji kuwa mifuko ya kupakia bidhaa na matumizi mengine (opens the original)
Read excerpt
Kwa wavuvi katika ziwa Niavasha, kama vile Simon Macharia na Joseph Kimani, Magugu maji yamekuwa kero kwa muda mrefu, na wakati mwingine kuwasababishia hasara. Lakini sasa kutokana na ubunifu wa Joseph Nguthiri , kijana bingwa wa dunia wa Mazingira wa UNEP mwaka wa 2025, na mwanzilishi wa kampuni ya Hyapak wavuvi wanaweza kujipatia kipato zaidi.
Kenya: Familia hatarini kutokana na kupanda kwa kiwango cha maji ziwa Naivasha (opens the original)
Read excerpt
Familia katika kijiji cha Kihoto mjini Naivasha, zimeendelea kutaabika kutokana na athari za kupanda kwa kiwango cha maji kwenye ziwa Naivasha, na kusababisha maji kuingia kwenye kijiji ambayo pia yamesababisha kuenea kwa magugumaji. Nikurejesha nchini kenya, katika eneo la bonde la ufa, ziwa Bogoria, ziwa Baringo na Ziwa Niavasha, ni mfano wa maziwa ambayo yameendelea kushuhudia kupanda kwa kina cha maji ndani ya miaka 10 zilizopita, katika eneo la Afrika mashariki.
Kenya: Uchunguzi wabainisha uwepo wa kemikali hatari kwenye bidhaa za plastiki (opens the original)
Publishing over time
Last 90 days. Choose a month to open its work.
Recurring subjects
Named in the text we hold. One piece can cover several.
Audience
No verified audience measurement yet.
About this data
Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.
Identity or attribution wrong? Suggest a correction.