Skip to content
HeyJared

Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)

Karibu kwenye podcast inayokupa maarifa ya teknolojia, sayansi na majibu ya maswali ya maisha kwa Kiswahili! Tunaangazia maendeleo ya kisasa, kuanzia akili unde yaani AI hadi ukubwa wa ulimwengu.

Podcast · By Maranga Amos Atima · Swahili · Official site

Indexed episodes, last 90 days
7
Latest publication
Sep 17, 2026
Audience
Checking…
Earliest in this view
Jul 21, 2026

Latest episodes

  1. Episode · Sep 17, 2026

    Baada ya Neptuni, kuna nini huko nje? (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Zaidi ya Neptuni, mahali ambapo Jua huonekana kama nyota tu ya mbali, kuna eneo kubwa la giza na baridi kali — UKANDA WA KUIPER. Ni "friji" kubwa ya Mfumo wa Jua, iliyojaa mamilioni ya dunia ndogo za barafu zilizohifadhi kumbukumbu ya jinsi mfumo wetu ulivyozaliwa miaka bilioni 4.5 iliyopita. ❄️Katika kipindi hiki cha Afrika Imara tunasafiri hadi ukingoni mwa Mfumo wa Jua kuchunguza mahali palipobadilisha kabisa jinsi tunavyoelewa "sayari" ni nini.

  2. Episode · Sep 10, 2026

    NEPTUNI: Sayari ya Mwisho Yenye Upepo wa Kutisha (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Karibu kwenye sayari ya mwisho ya Mfumo wetu wa Jua, NEPTUNI, sayari ya barafu (ice giant) iliyo mbali zaidi na Jua, kwa umbali wa kilomita bilioni 4.5. 🌊Ni sayari ya ajabu: japo iko mbali kabisa na joto la Jua, ndiyo yenye upepo mkali zaidi katika Mfumo mzima wa Jua, hadi 2000 km/h. Na cha kushangaza zaidi? Iligunduliwa kwa hesabu za hisabati kabla mtu yeyote hajaiona kwa darubinI.

  3. Episode · Sep 3, 2026

    URANUSI: Sayari Iliyolala Upande Na Iliyosahaulika (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Sayari ya URANUSI ni sayari ya ajabu zaidi katika Mfumo wetu wa Jua — sayari pekee inayozunguka ikiwa imelala upande wake, kwa mwinamo wa nyuzi 98. Hii inamaanisha nini? Ncha yake moja hukabili Jua kwa miaka 42 mfululizo ya mchana, kisha miaka 42 ya usiku wa giza totoro.

  4. Episode · Aug 27, 2026

    Zohali - Sayari Mrembo Na Hatari (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Zohali ndiyo sayari inayojulikana zaidi kwa pete zake za ajabu. Lakini je, uzuri wake ndio siri yake kubwa zaidi?Katika documentary hii ya Afrika Imara, tunachunguza ukweli wa kushangaza kuhusu Zohali. Utajifunza jinsi pete zake zilivyoundwa, kwa nini huenda zikatoweka siku moja, siri ya dhoruba yenye umbo la hexagon, na miezi yake ya ajabu kama Titan na Enceladus ambayo imekuwa miongoni mwa maeneo muhimu zaidi katika utafutaji wa maisha nje ya Dunia.

  5. Episode · Jul 26, 2026

    Mshtarii - Sayari Jitu (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Jifunze zaidi kuhusu sayari kubwa zaidi katika mfumo wa jua

Publishing over time

Last 90 days. Choose a month to open its work.

Recurring subjects

Named in the text we hold. One piece can cover several.

Audience

No verified audience measurement yet.

About this data

Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.

Identity or attribution wrong? Suggest a correction.

See coverage about Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)