Jukwaa la Michezo
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
- Indexed episodes, last 90 days
- 12
- Latest publication
- Sep 19, 2026
- Audience
- Checking…
- Earliest in this view
- Jul 4, 2026
Latest episodes
Riadha za 2029 zatua Nairobi, ziara ya Motsepe Afrika Mashariki (opens the original)
Read excerpt
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Nairobi kushinda haki za kuandaa riadha za dunia mwaka 2029, michuano ya voliboli Kombe la Mataif ya Afrika ya wanaume, golikipa wa Senegal Edouard Mendy anuia kustaafu soka la kimataifa, ziara ya Motsepe Kenya na Tanzania kukagua viwanja vya Afcon 2027, ni kwa nini ligi ya Kenya haijaanza, michuano ya Cecafa U20, kocha mpya wa Ufaransa Zinadine Zidane ampa unahodha Kylian Mbappe, uchambuzi wa vichapo vya Arsenal, Spurs na Chelsea.
Awamu ya marudiano kufuzu klabu bingwa Afrika, Tuzo za Ballon d'Or 2026 (opens the original)
Read excerpt
Raundi ya kwanza ya kufuzu klabu bingwa Afrika yatamatika, Inaki Williams astaafu soka la kimataifa, yaliyojadiliwa kwenye kongamano la tatu la Sportsbiz Afrika, moto wa Olympiki kuelekea Olimpiki ya Dakar wawashwa, FIFA yapuuza madai ya Morocco kuandaa Kombe la Dunia la 2030, waafrika waliotajwa kwenye orodha ya tuzo za Ballon d'Or, Ufaransa yajiondoa kumuunga mkono Infantino kuchaguliwa urais tena na fainali za US Open.
Misri yashinda ubingwa wa Afrika voliboli, Tanzania na Uganda mabingwa Cecafa (opens the original)
Read excerpt
Tuliyokuandalia ni pamoja na Misri kushinda ubingwa wa Afrika wa voliboli wa kina dada, Quieroz arejea Ghana huku Pitso Motsimane akiteuliwa kocha wa Afrika Kusini, Ligi ya Mabingwa Afrika yang'oa nanga, Tanzania na Uganda zashinda taji za Cecafa michuano ya shule za upili CAF, droo ya Afcon U20 yatolewa, riadha za Diamond League, kocha wa PSG Luis Enrique atia saini mkataba mpya, Djokovic abanduliwa mapema michuano ya US Open.
Michuano ya voliboli ya Afrika ya kina dada yaingia raundi ya mtoano (opens the original)
Read excerpt
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Nigeria kuapisha shirikisho la mpito kusimamia soka, Ethiopia yawasilisha ombi la kuandaa Afcon 2028, DRC yabanduliwa michuano ya Afrika ya Voliboli, mechi za kufuzu Kombe la Dunia la Basketboli yaingia raundi ya pili; wakenya Faith na Wanyonyi wang'ara riadha za Zurich Diamond League, Rayon Sport yajiandaa mechi za Kombe la Shirikisho, Kenya yaibuka bingwa mashindano ya ANOCA, Droo ya Ligi ya Mabingwa, tetesi za uhamisho, Norris asaini mkataba mpya McLaren
Vieira ndiye kocha mpya wa Senegal, uwanja wa Talanta wafikia asilimia 95 (opens the original)
Read excerpt
Leo tunaangazia ushindi wa Cameroon taji la Wafcon, Patrick Vieira ndiye kocha mpya wa Senegal, Wanyonyi ang'ara riadha za Diamond League, bondia wa mwafrika kusini auawa nchini Afrika Kusini, uwanja wa Talanta umefikia asilimia 95 kukamilika, michuano ya kufuzu klabu bingwa kwa kina dada ukanda wa Cecafa yaanza, ratiba ya Kombe la Dunia la wanawake 2027 yatolewa, Shakhtar kutumia uwanja wa Stamford Bridge katika michuano ya Klabu Bingwa, Ligi za Ulaya zarejea.
Publishing over time
Last 90 days. Choose a month to open its work.
Recurring subjects
Named in the text we hold. One piece can cover several.
Audience
No verified audience measurement yet.
About this data
Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.
Identity or attribution wrong? Suggest a correction.