Jua Haki Zako
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
- Indexed episodes, last 90 days
- 7
- Latest publication
- Aug 31, 2026
- Audience
- Checking…
- Earliest in this view
- Jul 10, 2026
Latest episodes
Kenya : Wafanyibiashara waandamana kulalamikia kodi (opens the original)
Read excerpt
Nchini Kenya mvutano mkubwa imebuka kati ya wafanyibiashara wadogowado na serikali na mapendekezo ya serikali kuongeza kodi. Skiza makala haya kufahamu mengi.
DRC : Wambote wataka kujumuishwa serikalini (opens the original)
Read excerpt
Raia mbilikimo wataka kujumuishwa serikali nchini DRC. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni (opens the original)
Read excerpt
Utafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, msichana mmoja kati ya wanne anapata ujauzito kabla ya kufikisha miaka 18. Ingawa sheria na sera katika nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zinatambua haki ya wasichana hao kuendelea na masomo hata baada ya kujifungua, wengi bado hukumbana na vikwazo vinavyowafanya washindwe kurudi darasani.
Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya (opens the original)
Read excerpt
Nchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan kwenye jamii ambazo zinaishi kaunti za miapakani kama vile Busia ,Turkana na Mandera, hali inayoendelea kuwanyika raia hao haki zao za kimsingi na kukosa huduma muhimu za serikali . Hii leo katika makala Jua haki zako tunaangazia akina mama hao na watoto wao jimbo la Busia kwenye mpaka wa Kenya na Uganda
Kenya: Mawakili waandamana kudai haki (opens the original)
Read excerpt
Nchini Kenya, mawakili wameandamana kudai haki kufuatia vifo vya wenzao wawili ambao wameuawa katika mazingira tata. Kwenye makala haya tunaangazia malalamishi ya mawakili hao. Sikiliza makala kufahamu mengi.
Publishing over time
Last 90 days. Choose a month to open its work.
Recurring subjects
Named in the text we hold. One piece can cover several.
Audience
No verified audience measurement yet.
About this data
Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.
Identity or attribution wrong? Suggest a correction.