Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani.
- Indexed episodes, last 90 days
- 10
- Latest publication
- Sep 27, 2026
- Audience
- Checking…
- Earliest in this view
- Jul 5, 2026
Latest episodes
Changu Chako: Historia ya jij la Kisumu septemba 27 2026 (opens the original)
Changu Chako: Historia ya ngoma ya utamaduni wa kiturkana Sept 20 20269 (opens the original)
Read excerpt
Makala haya yanazungumzia kuhusu muziki wa tamaduni ya Kiturkana ambao ni kiungo muhimu sana katika maisha ya jamii ya Waturkana, inayopatikana kaskazini-magharibi mwa Kenya. Muziki wao hautumiwi tu kama burudani, bali ni njia ya kuhifadhi historia, kuwasiliana na jamii, na kuadhimisha matukio muhimu ya maisha. Hapa kuna vipengele muhimu vinavyofafanua muziki wa kitamaduni wa Kiturkana:
Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wahehe sept 6 2026 (opens the original)
Read excerpt
Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu. Makala haya hukuletea Historia na tamaduni ya makabila mbalimbali, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletza Historia ya watu wa kabila la Wahehe, kutoka chini Tanzania na kwenye Muziki nitakuletea msanii kutoka nchini Uganda Made Ice, Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu.
Changu chako historia ya waswahili wa Burundi harakati za kumtambuwa mswahili sehemu ya 3 Agost 30 (opens the original)
Read excerpt
Karibu katika makala changu chako chako chako changu Jumapili ya leo nakuletea sehemu ya 3 na ya mwisho ya historia ya waswahili wa Burundi, ambapo sehemu ya mwisho mgeni wetu atatueleza harakati za kumtambuwa mswahili wa Burundi Na kwenye Muziki nitakuletea Mwanamuzi nguli wa miondoko ya Contry kutoka nchini Marekani Dolly Parton ambae amefariki dunia juma hili. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama karibu. Nifuate kwenye mitandao ya kijamii @billybilali
Changu Chako: Historia ya waswahili wa Burundi katika harakati za Uhuru agost 23 2026 (opens the original)
Read excerpt
Karibu katika Makala changu chako chako change, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya historia ya waswahili wa Burundi na kwenye muziki nitakuletea mwanamuziki Lady Jay D. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu. Nifuatilie @billybilali
Publishing over time
Last 90 days. Choose a month to open its work.
Recurring subjects
Named in the text we hold. One piece can cover several.
Not enough subject data for this period yet.
Audience
No verified audience measurement yet.
About this data
Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.
Identity or attribution wrong? Suggest a correction.