Skip to content
HeyJared

Afrika Ya Mashariki

Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu.

Podcast · By RFI Kiswahili · Swahili · Official site

Indexed episodes, last 90 days
6
Latest publication
Sep 11, 2026
Audience
Checking…
Earliest in this view
Jul 15, 2026

Latest episodes

  1. Episode · Sep 11, 2026

    EAC: Kesi za kisiasa au utawala wa kisheria (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni, viongozi wa upinzani katika nchi mbalimbali za Afrika Mashariki wameendelea kujikuta mahakamani wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwemo uhaini. katika Makala ya Afrika Mashariki, tunaangazia mwenendo wa kesi zinazowakabili viongozi wa upinzani katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, je, ni ishara ya kuimarika kwa utawala wa sheria au kuna maswali yanayoendelea kuulizwa kuhusu ushindani wa kisiasa?

  2. Episode · Aug 21, 2026

    Kenya yaanza safari ya kutafuta dira mpya, ruwaza ya 2030 ikielekea kufika ukomo (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Kenya imeanza safari ya kutafuta dira mpya ya maendeleo baada ya Ruwaza ya Taifa ya Maendeleo 2030 kuelekea kufikia ukomo wake. Safari hii inakuja wakati Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC, ikiwa na dira yake ya pamoja ya mwaka 2050, inayolenga kujenga ukanda wenye uchumi shindani, miundombinu iliyounganishwa, viwanda, biashara, ajira na maendeleo ya watu.

  3. Episode · Aug 12, 2026

    Tanzania: Nanenane imebaki maonesho ya kilimo au imegeuka soko la biashara? (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Tunaangazia mjadala kuhusu mustakabali wa maonesho ya nanenane nchini Tanzania. Je yaendelee kuwa jukwaa la teknolojia za kilimo pekee au yafungue milango kwa biashara zote?

  4. Episode · Aug 1, 2026

    Safari ya Tohara ya kitabibu kutoka mila hadi afya ya umma (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Katika Makala ya wiki hii, tunaangazia safari ya Tohara ya kitabibu kutoka mila hadi afya ya umma.

  5. Episode · Jul 24, 2026

    Mazungumzo ya kitaifa yanaweza kuponya majeraha ya DRC? (opens the original)

    Episode notes

    Read excerpt

    Katika Makala ya Afrika Mashariki, tunaangazia mchakato wa mazungumzo ya kitaifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, nafasi ya viongozi wa dini na matarajio ya wadau wa kisiasa katika kutafuta amani na maridhiano ya kudumu.

Publishing over time

Last 90 days. Choose a month to open its work.

Recurring subjects

Named in the text we hold. One piece can cover several.

Audience

No verified audience measurement yet.

About this data

Counts cover the work we have indexed. Tone needs enough text and a confident classification. Excerpts and episode notes are not full articles or transcripts.

Identity or attribution wrong? Suggest a correction.

See coverage about Afrika Ya Mashariki